About Me

My photo
a hardworking,development conscious person who get on well with all people

Saturday, March 19, 2011

AFUMANIWA AKIIBA MBUZI GWASHENI


Jamaa huyu afumaniwa mwituni akichinja mbuzi za tajiri wake.

Ama kweli wahenga hawakukosea waliposema siku za mwizi ni arobaini,mpasho huu ulidhihirika kweli kwa jamaa mmoja katika kata ya Mwavumbo aliyefumaniwa mwituni akichinja mbuzi za tajiri wake akishirikiana na mwenzake aliyeponea chupuchupu katika mshikemshike na raia waliojawa hasira.Kwa taarifa ya tajiri wake mzee Mangale Chirao jamaa huyo kwa majina Juma Kazungu alikuwa mchungaji wake aliyemuamini sana na hakutarajia kwamba angekuja kubadilika kama kinyonga baadaye.Juma Kazungu alitiwa nguvuni na askari tawala katika afisi ya Chifu Kalalani.


Followers